JINSI YA KUTUMIA BLUETOOTH KAMA MIC 🎤 UKIWA NA RADIO PEKEE.
Kuna mahali unaweza ukawa na event na huna maiki .
Fanya hivi kama Kuna redio inayosuport Bluetooth..
1. Ingia play store down load app INAITWA Live mic microphone Inafanana hivi👇
2.Washa Bluetooth ya simu yako Ukisha washa nenda kwenye app Sehemu wameandika Bluetooth manage. Ibonyeze itakuletea option ya kuscan Kiredio ulichonacho utakiona hapa
Angalia picha hizi
3.Washa sehemu ya microphone Kwenye hiyo app Baada ya kuwasha bluetooth na kuiconnect na ile redio yako. Ingia kwenye app Kuna sehemu imeandikwa mic Bonyeza itakupeleka sehemu Kuna button 3 hizi za kupunguza kelele za mazingira ziwashe zote
Angalia pichani
Kama umefika mpaka hapa Sasa unaweza kuanza KuoNgea na sauti itasikika kwenye redio yako..
Umejifunza kitu...
Imefanya kazi hapo kwako ?
Kama jibu ni ndio usipite bila kuacha
Kulike na ku comment🙏
KWA MAELEKEZO ZAIDI
WhatsApp: 0743702120
Normal call: 0759702102





Comments
Post a Comment